Wednesday, September 30, 2009



niko na uncle kutoka nyumbani. ..alinukumbusha mengi sana

Tuesday, September 29, 2009



sister dogo na mdau

Family re union.
nilipokutana na dogo baada ya nyungu kadhaa.
BWI airport ...maka akiwa tayari kwa philly.
wakazi wa dallas choki, dakota, mr maji ,kia na mdau wa kansas

it felt like home ...my old city.

jumuiya ya dc

KWA OBAMA!

A family reunion after so many years...kutoka kushoto mdau aunty lucy, mack, uncle G.

bwana na bibi harusi walifana..we had a good time. All the best to the bride and groom.

Thursday, September 10, 2009



aziza na mnyangala


kutoka kushoto Henry, Richard, Godfrey na Yohanna


brother Abdul ,katibu Eric na mr maji


mdau mama Hosea na Mrs pia walikuwepo


dada itika pia likuwepo kijiweni restaurant


dada zetu kama kawaida kwenye shida na raha kutoka kushoto dada bahati,gloria akiwa na andrew jr na dada yetu sophia


kwa mbali bwana joe dakota akimsikiliza mchungaji kwenye rambirambi


mchungaji wa kanisa la watanzania waishio dallas Pastor Absoloom

Andrew kassera a.k.a kk na obeid ( msofe) pia walikuwepo

wadau mbalimbali wa dallas walijitokeza kutoa pole


mama Hosea na binti yake lina pia walikuwepo

ndugu frank akitupa historia fupi ya mzee


msiba wa ndugu yetu frank maji


pichani juu ni mkuu wa police mstaafu mkoa wa dar es salaam mzee maji. R.I.P . Ni baba wa rafiki yetu mpendwa mdau wa Dallas Texas ndugu Frank Maji wana Dallas wako pamoja na wewe katika wakati huu mgumu.