Wednesday, October 28, 2009

chama limekamilika mwaka huu lzm tuchukue


hapa nafikiria niondoke au nimalize tu game..

tulifungwa lkn poa tu
Dallas ni moja ya state yenye viwanja vikali

Tuesday, October 27, 2009

MAVS VS WIZARD

AMERICAN AIRLINE ukitembea D town lazima ufike nyumbani kwa Mavs...western conference champions

kapanga akifanya vitu vyake

Sunday, October 25, 2009

uncle schedule....

soon will be named....Dr Uncle. safi mzee

Tuesday, October 20, 2009


shafiki in tha house

weekend inaanzia home kwanza


niko na katibu eric unaweza kuona mambo yake kwenye Ejoshua's creation world m google tu uone mambo yake.

Tuesday, October 13, 2009



hakuna wasiwasi menu inakuja soon

hot chocolate muhimu weather ime change kidogo

chubby's



ukitembelea duncanville pita chubbys sio mchezu kuanzia wahudumu mpaka menu

Tuesday, October 6, 2009

hawa jamaa ndugu au macho yangu tu! ...D chillin' with cube

baada ya kazi faraja


dollar ngumu lkn ukiipata ina starehe yake kama "freaky" akijipongeza

mdau wa capetown ndani ya dallas

shafiki a.k.a freaky au cube tayari kwa kujichanganya.